- Sasa
Hivi sasa ukiondoka, kila kitu kinasimama
Hujui kilichouzwa, nani hajalipa, wala faida.
- Ukiwa na Mapato
Ukiwa na Mapato, unaiona biashara yako popote ulipo
Kipato kinaingia hata ukiwa mbali.
- Kesho
Hapo utakuwa huru kupumzika na kukua
Safari, familia, tawi la pili: biashara inaendelea.
Mfanyakazi wako anahudumia wateja tu: haoni gharama wala faida yako.
Mauzo, stoo, faida, madeni, M-Pesa na risiti: vyote kwenye simu yako.