Mapato
Ingia

Kipato na Uhuru

Je, biashara yako inaweza kuendelea na kukua hata usipokuwepo?

Ukiwa na Mapato, kipato kinaingia kila siku, biashara yako inakuwa mali yenye thamani, na muda wako unarudi mikononi mwako.

Hapo utakuwa huru: utasafiri, utapumzika au utafungua tawi jipya, biashara ikiendelea.

Jaribu siku 10

Ukilipa mwezi wa kwanza, unapata miwili.

Jioni hii, popote ulipo, unajua
  • Biashara imeingiza kiasi gani leo
  • Nani bado hajakulipa
  • Nini kinakaribia kuisha

Mfanyakazi wako anahudumia wateja tu: haoni gharama wala faida yako.

Mauzo, stoo, faida, madeni, M-Pesa na risiti: vyote kwenye simu yako.

Anza leo: kipato chako, mali yako, muda wako.

Au angalia demo kwanza, bila kujisajili.